Don't have an account?
Sign up as a User
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Joseph Kuzilwa (kushoto) ameongoza Kikao cha 142 cha Baraza kilichofanyika Jumatano Septemba 03, 2025 katika Kituo cha Mafunzo cha Kanda ya Ziwa – Mwanza.