Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Profesa Joseph Kuzilwa (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Profesa Hozen Mayaya (watatu kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa washiriki wa Maonesho ya 49 ya Sabasaba 2025 wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini katika Banda la Wizara ya Fedha muda mfupi kabla ya kuhudhuria hafla ya ufunguzi wa Maonesho hayo ulifanywa na Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi mapema leo Jumatatu Julai 07, 2025