Event

MAONESHO YA 50 YA BIASHARA YA KIMATATIFA (SABASABA) - 2026

  • 2026-07-07 15:35:44

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omari (Mb), akipokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Utafiti na Machapisho wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Dkt. Africanus Sarwatt, kuhusu mchango wa Chuo katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kupitia tafiti zinazolenga kutoa suluhisho kwa changamoto za maendeleo, hususan katika maeneo ya Vijijini.

Chuo cha Mipango ni miongoni mwa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha zinazoshiriki Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), ndani ya Banda la Wizara ya Fedha.

Subcribe weekly newsletter
Register Now