Don't have an account?
Sign up as a User
Mgeni Rasmi katika hafla ya Kufunga Mafunzo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Rosemary Senyamule (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo mara baada ya kufunga mafunzo hayo.
Mafunzo hayo yaliyoanza Jumatano tarehe 18 Desemba 2024 yamehitimishwa Ijumaa tarehe 20 Desemba, 2024 katika Ukumbi wa Maasai Hoteli ya St. Gaspar Jijini Dodoma