Don't have an account?
Sign up as a User
Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurian Ndumbaro akiwasilisha mada juu ya Mawasiliano na Utatuzi wa Migogoro. Dkt. Ndumbaro ni mmoja wa wawezeshaji katika semina elekezi ya Menejimenti ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini inayofanyika katika Hotel ya St. Gaspar Jijini Dodoma