Event

Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi ya Baraza la Uongozi wa Chuo, Dkt. Samwel Werema akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ukumbi Na. 5 wa Bodi, Jengo la Pili la Taaluma kampasi kuu Dodoma.  Kikao hicho kilipokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za ukaguzi kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi 2026.

  • 2026-05-08 09:10:56

  .   

Subcribe weekly newsletter
Register Now