Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji Dkt. Pius Chaya akiwasilisha Mada juu ya "Planning for Tanzania’s Future: The Role of Rural Development Planning in Achieving Tanzania Development Vision 2050" jana tarehe 10 Aprili, 2026 katika Ukumbi wa Mihadhara Na.5 Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini.