Event

WARSHA YA WADAU KUHUSU TATHMINI NA UBORESHAJI WA MFUMO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI (M&E) WA ASDP II NA ARDS

  • 2026-07-21 16:30:06

Mkurungenzi wa Taaluma wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Profesa Maseke Mgabo, Jumanne, tarehe 21 Julai 2026,akifungua rasmi Warsha ya Wadau kuhusu tathmini na uboreshaji wa Mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) wa ASDP II na ARDS, inayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano, Jengo la Pili la Taaluma, Kampasi Kuu Dodoma.

Warsha hii imewakutanisha wadau mbalimbali kujadili na kuboresha mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ili kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa programu na sera za maendeleo ya sekta ya kilimo nchini.

Subcribe weekly newsletter
Register Now