Don't have an account?
Sign up as a User
Watumishi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mafunzo cha Kanda ya Ziwa - Mwanza, Jumapili Oktoba 20, 2024 wameungana na Wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika Mbio za Hisani za kuchangia matibabu ya Watoto wenye Saratani "Bugando Health Marathon" kwa kukimbia mbio za Km 21, Km10, Km 05 na Km 2.5