Don't have an account?
Sign up as a User
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Joseph Kuzilwa ameongoza Kikao cha 140 cha Baraza kilichofanyika Ijumaa Februari 28, 2025 katika Kituo cha Mafunzo cha Kanda ya Ziwa – Mwanza.