Don't have an account?
Sign up as a User
Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Profesa Hozen Mayaya akieleza dhima ya mafunzo elekezi kwa Menejimenti ya Chuo , leo Jumatano tarehe 18 Desemba, 2024 . Mafunzo haya yanafanyika St. Gaspar Hotel Jijini Dodoma.