MINISTRY OF FINANCE

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING

Kupanga ni Kuchagua

Event

Uzinduzi wa Mafunzo kwa wajumbe wa Menejimenti

  • 2024-12-19 21:25:21

Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mafunzo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Caspar Mmuya (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo mara baada ya kufungua mafunzo hayo.

Mafunzo hayo yaliyoanza jana Jumatano tarehe 18 Desemba 2024 yanatarajiwa kuhitimishwa kesho Ijumaa tarehe 20 Desemba, 2024 katika Ukumbi wa Maasai Hoteli ya St. Gaspar Jijini Dodoma

Subcribe weekly newsletter