Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini katika Kikao cha 140 cha Baraza kilichofanyika Ijumaa Februari 28, 2025 katika Kituo cha Mafunzo cha Kanda ya Ziwa – Mwanza.